Miaka miwili ya Rais Mwinyi, wadau wampongeza
Wakati Rais wa Zanzibar Dr Hussein Ali Mwinyi akitimiza miaka miwili madarakani wadau mbalimbali wamepongeza jitihada alizozifanya katika sekta mbalimbali ikiwemo masuala ya utalii pamoja na kukuza uchumi wa Zanzibar