Miili ya watu 7 waliofariki ajalini Kiteto yaagwa
Miili saba ya watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Kiteto mkoani Manyara, ikiwemo familia moja ya mume na mke waliofariki kwa ajali ya gari la kubebea wagonjwa siku ya Novemba 7, 2022 imesafirishwa kwa ajili ya mazishi.