Yanga yawataka wanachama wake wawe watulivu

Katibu Mkuu wa Yanga Beno Njovu (kulia) akiongea na waandishi wa habari makao makuu ya klabu ya Yanga

Klabu ya Yanga imesema kuwa haina tatizo na kuondoka kwa wachezaji wake Frank Domayo na Didier Kavumbagu na kuwataka wanachama wake wawe watulivu kwa kuwa wachezaji hao wanatafuta maisha.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS