Kesi ya Pistorious yanendelea Oscar Pistorious Kesi ya mauaji inayomkabili mwanariadha mlemavu wa Afrika Kusini Oscar Pistorius imeendelea leo baada ya mapumziko ya wiki, ambapo upande wa mshitakiwa unawasilisha utetezi wake. Read more about Kesi ya Pistorious yanendelea