Ringtone asaka soko Nigeria
Msanii wa muziki wa injili anayefanya vizuri nchini Kenya, Ringtone ameripotiwa kuwa katika mkakati wa kupanua soko la muziki wake huko Afrika Magharibi, ambapo staa huyu amefika Nigeria na kukutana na DJ Gosporella ambaye ni mdau mkubwa wa muziki.