Miili ya watumishi wa MDH waliofariki kwenye ajali ya ndege Bukoba
Mamia ya waombolezaji hasa wafanyanyazi wa MDH wamejitokeza katika (hafla) zoezi la utoaji wa heshima za mwisho kwa watumishi wa MDH walifariki dunia katika ajali ya ndege iliyotokea Novemba 6, 2022 Bukoba Mkoani Kagera.