Samatta, Lumumba kupatanisha mahasimu katiba mpya

Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba nchini Tanzania Deus Kibamba

Jukwaa la katiba limemteua Jaji mkuu mstaafu Baranabas Samatta na mhadhiri na mwanaharakati maarufu Afrika Mashariki Prof Patrick Lumumba kuendesha jopo la upatanishi wa pande zinazopingana katika mchakato wa katiba mpya nchini Tanzania.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS