Chama, Aziz KI wafungiwa michezo mitatu Nyota wa Simba, Clatous Chama na Stephane Aziz KI waYanga wamefungiwa kutocheza michezo mitatu na faini ya Sh 500, 000 (laki tano). Read more about Chama, Aziz KI wafungiwa michezo mitatu