JB: Richie alinishawishi kuigiza
Msanii mahiri wa maigizo hapa nchini Tanzania, Jacob Steven maarufu zaidi kama JB, ameweka wazi kuwa mafanikio yake makubwa katika sanaa hiyo kwa sasa, mwanzo wake kabisa ilikuwa ni ushawishi kutoka kwa msanii mwezake, Single Mtambalike aka Richie.