"Ndoa sio mbaya ubaya tunao wanandoa" - Billnass Billnass na Nandy Msanii Billnass ameshea 'Experience' yake kuhusu suala zima la ndoa kwa kusema ndoa sio mbaya na haina shida yoyote kwa mastaa bali ubaya wanao wanandoa wenyewe. Read more about "Ndoa sio mbaya ubaya tunao wanandoa" - Billnass