Vijana wabeba mizigo wajipanga kujenga kiwanda
Vijana wabeba mizigo maarufu kama Makuli katika soko la Mpanda hotel Mkoa wa Katavi ambao huwa wanakusanya fedha zao kwa kuchangishana wamefanikiwa kuwekeza na kununua shamba la hekari 27, viwanja vitatu kila mmoja huku wakiazimia kujenga kiwanda kikubwa cha kuchakata mazao ikiwemo mpunga