Wakulima wauza Korosho zao kishingo upande
Wakulima wa Wilaya ya Ruangwa, Nachingwea na Liwale, wakiongozwa na wenzao kutoka kijiji cha Kitogoro, wilayani Liwale Mkoani Lindi wamesema bei za Korosho zilizotajwa kwenye minada ni ndogo ila imewabidi wauze kwa kuwa hawana namna nyingine