Wakili adai Sabaya ana tatizo la moyo
Wakili wa Upande wa utetezi katika kesi namba 2 inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya Wakili Helleni Mahuna ameiambia Mahakama kuwa Sabaya ni mgonjwa na ana tatizo la moyo na kusisitiza kusikilizwa kwa kesi hiyo kwani imekaa muda mrefu