Zahanati iliyoanza kujengwa 2000 yakamilika 2022

Zahanati iliyojengwa kwa miaka 22

Wananchi wa Kijiji cha Nambogo Manispaa ya Sumbawanga, wameishukuru serikali ya awamu ya sita kwa kusaidia kukamilisha ujenzi wa zahanati yao iliyoanza kujengwa mwaka 2000 na kukamilika mwaka huu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS