"Nilivaa nguo za kike kutaka Attention" - Nuh

Picha ya Nuh Mziwanda kwenye mavazi ya kike

Msanii Nuh Mziwanda ameiambia #PlanetBongo ya East Africa Radio kwamba kuvaa mavazi ya kike yalikuwa lengo ya kuvuta 'Attention' kwa watu kuhusu EP yake mpya ya Wonders.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS