Bibi aomba Rais Samia amsaidie mgogoro wa nyumba
Mwanaiba Omary mwenye umri wa zaidi ya miaka 90 mkazi wa mtaa wa Mloweka kata ya Lizaboni manispaa ya Songea mkoani Ruvuma amemuomba Rais wa Tanzania Samia Hassan Suluhu Hassan amsaidie kuipata nyumba yake