Mwili wa kichanga waokotwa kwenye dampo Mwanza

Wakazi wa mtaa wa Shibayi kata ya Buhongwa wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza wamepata taharuki baada ya kuona mwili wa kichanga kinachokadiriwa kuwa na umri wa miezi sita ukiwa umewekwa kwenye boksi na kutupwa katika dampo lilipo kwenye soko la mtaa huo

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS