Friday Night Live E2014/17 Usikose Friday Night Live wiki hii tutakua na 'surprise' moja kali sana tukisherekea miaka 50 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Si ya kukosa kabisa Ijumaa sa nne usikuSubmitted by Bhoke on Jumanne , 22nd Apr , 2014 Read more about Friday Night Live E2014/17