Serikali kuchunguza chanzo moto Mlima Kilimanjaro Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Serikali imesema kwamba inaendelea na uchunguzi ili kubaini chanzo hasa cha moto Mlima Kilimanjaro, ambao kwa sasa umedhibitiwa kwa kiasi kikubwa ili hatua stahiki ziweze kuchukuliwa. Read more about Serikali kuchunguza chanzo moto Mlima Kilimanjaro