Familia yauzika mwili wa kijana wao aliyeuawa
Hatimaye familia ya kijana Ibrahim Shakiru aliyeuawa kwa kupigwa na walinzi pamoja na wananchi wenye hasira kali Kirumba jijini Mwanza, wameamua kuuzika mwili wa kijana huyo huku Imamu wa msikiti wa Muumin Kabuhoro akiwataka kumuachia Mungu aweze kuhumu.