Rwanda yatuhumiwa kuwapa silaha waasi M23 Congo. Marekani imeelezea wasiwasi wake kwamba Rwanda inawaunga mkono waasi wa kundi la M23 katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na kujiunga na miito ya Umoja wa Mataifa inayotaka amani idumishwe tena. Read more about Rwanda yatuhumiwa kuwapa silaha waasi M23 Congo.