TRA kuja na mbinu mpya kuongeza makusanyo
Afisa msaidizi wa Kodi TRA, Chama Siriwa elimu ya mlango kwa mlango katika kampeni inayoendelea katika mkoa wa Simiyu kwa lengo kuelimisha wafanyabiashara wa mkoa huo sambamba na kuskiliza changamoto zao ili kuzitafutia ufumbuzi.