Matumizi ya moto hifadhini yapigwa marufuku

Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Dkt Pindi Chana

Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Dkt Pindi Chana amepiga marufuku matumizi ya moto katika maeneo ya Hifadhi nchini ambayo inatumika kusafisha mashamba na badala yake zitumike mbinu mbadala ili kuzuia mioto inayotokea katika Hifadhi na kusababisha hasara kwa serikali.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS