Nec yatangaza nafasi za wazi za udiwani na Ubunge
Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC imetangaza kuwepo kwa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Amani , Tanzania Zanzibar kutokana na kutokea kifo cha aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo Mussa Hassan (CCM) kilichotokea Oktoba 13, 2022, pamoja na nafasi za madiwani katika kata 12 Tanzania Bara.