Mkuu wa Wilaya ya Chato Martha Mkupasi kwenye makabidhiano ya mizinga ya kufugia nyuki
Wafugaji wa Nyuki Wilayani Chato wameiomba serikali iweze kuongeza Ulinzi kwenye misitu ya hifadhi ili wavamizi wenye tabia ya kukata na kuchoma misitu waache tabia hiyo na wao wanufaike na zao la Nyuki.