DC Mbeya atoa siku tano kwa wavamizi

Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Dk. Rashid Chuachua

Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Dk. Rashid Chuachua ametoa muda wa siku tano kwa wananchi waliovamia msitu wa Mlima Mbeya kuondoka mara moja  kabla serikali haijachukua hatua za kisheria.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS