IGP aagiza vitendo vya rushwa kukemewa

Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Suzan Kaganda

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura, amemuagiza Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Suzan Kaganda kusimamia kwa dhati maslahi ya Jeshi na askari wote kwa ujumla ikiwemo kukemea vitendo vya rushwa vinavyochangia kukwamisha maslahi ya askari.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS