Maambukizi ya Kifua kikuu yaongezeka Duniani
Ripoti mpya ya Shirika la Afya Ulimwenguni WHO, imebainisha kuongezeka kwa idadi ya watu walioambukizwa ugonjwa wa kifua kikuu, ikiwa ni pamoja na uwepo wa watu wenye usugu wa dawa ukilinganisha na miaka iliyopita.