Ambaka mtoto kwa kumuahidi taiti na kitenge

Emmanuel Masawe, aliyehukumiwa miaka 30 jela

Mahakama ya wilaya ya Kiteto, mkoani Manyara, imemhukumu miaka 30 jela Emmanuel Masawe (50) mkazi wa Kigamboni mkoani humo kwa kosa la kumbaka binti wa kazi wa miaka (15) kwa nguvu, baada ya kumdanganya atampa taiti na taiti na kitenge ambavyo hata hivyo baada ya kumbaka hakumpa vitu hivyo

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS