Jambazi auawa akijaribu kupora pikipiki
Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro limefanikiwa kumuua mtu mmoja ambaye hajafahamika jina lake mwenye umri kati ya miaka 30 na 35 aliyekuwa anajihusisha na matukio ya unyanganyi wa kutumia silaha ambapo Oktoba 26 majira ya saa mbili usiku alifanya jaribio la kupora pikipiki