Arejesha mtoto anayedaiwa kumuiba 2020
Baraka Masunzu (24), mzaliwa wa Kibondo mkoani Kigoma anayetuhumiwa kuiba mtoto wa bosi wake mkoani Geita tangu mwaka 2020 amemrudisha kwa wazazi wake baada ya miaka miwili akidai kuwa amemkuta mtoto huyo mkoani Tabora akiwa na mtu ambae hamjui ndipo akaamua kumleta kwa wazazi