Wananchi watakiwa kushirikiana kuzuia moto Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja amewataka wananchi Mkoani Iringa kushirikiana katika kudhibiti matukio ya moto yanayojitokeza kwenye mashamba ya miti binafsi na ya Serikali. Read more about Wananchi watakiwa kushirikiana kuzuia moto