Watendaji URA SACCOS wapewa utaratibu
Chama cha ushirika cha kuweka na kukopa cha Jeshi la Polisi (URA SACCOS) kimewataka watendaji wa chama hicho kutoka Mikoa yote ya Tanzania bara na visiwani kutoa huduma bora kwa wanachama wake ili kuleta ufanisi na huduma za viwango vya kimataifa.