Amchinja mwenzake baada ya kunywa supu yake

Jamal Shomari Mtepa anayekadiriwa kuwa na umri kati miaka 25 hadi 30 mkazi wa Kijiji cha Mchakama, Wilaya ya Kilwa, Mkoani Lindi ameuwawa kwa kuchinjwa kwa kile kinachoelezwa kuwa alikunywa supu iliyokuwa imewekwa na rafiki yake aliyetajwa kwa jina la Akadwii.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS