Mongella ataka wataalam wa maji wasibaki maofisini

Mkuu wa mkoa wa Arusha John Mongella

Mkuu wa mkoa wa Arusha John Mongella, amewataka wataalam wanaosimamia miradi ya maji kuacha kukaa ofisini na badala yake kwenda katika maeneo wanayotekeleza miradi  hiyo na kufanya tafiti za kutosha ili kuepuka kufanya kazi zisizokuwa na ubora pamoja na ufujaji wa fedha za serikali

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS