Dereva bodaboda aliyepotea akutwa amefariki

Dereva bodaboda Bakari Yasini (18) mkazi wa Kibaya wilayani Kiteto Mkoani Manyara aliyetoweka siku 6 zilizopita baada ya kukodishwa na mteja, leo Oktoba 26/2022 amekutwa amefariki katika eneo la Lengati Katabya Njoro

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS