Geita Gold yaipiga mkwara Yanga Mchezo wa Ligi kuu ya NBC wa Geita Gold dhidi ya Yanga umezidi kupamba moto huku uongozi wa Wachimba Dhahabu ukichimba mkwara kuwa tambo za Yanga kutopoteza mchezo wa ligi zitakoma Jumamosi. Read more about Geita Gold yaipiga mkwara Yanga