Miji ya Unguja na Pemba kupimwa upya
Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesaini Mkataba na Kampuni ya Upimaji Ardhi ya Property International kwa ajili ya Upimaji wa Ardhina Makazi Katika Visiwa vya Unguja na Pemba ikiwa ni Mkakati wa Serikali ya SMZ Kuhakikisha Ardhi ndogoya Zanzibar