TMA yatoa tahadhari uhaba wa mvua hapa nchini
Mamlaka ya hali ya hewa nchini TMA imetoa utabiri wake wa msimu wa mvua unaoanzia mwezi Novemba mwaka huu mpaka mwezi April mwaka ujao unaonyesha kwamba maeneo mengi ya nchi yatapata mvua za chini ya wastani hadi wastani.