NECTA wahimiza weledi katika usimamizi wa mitihani

Kaimu Katibu Mtendaji NECTA Athumani Amasi

Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza  la Mitihani NECTA Athumani Amasi ametangaza kuanza kwa mitihani kujipima ya darasa la nne na kidato cha pili huku  wasimamizi wakitakiwa kufanya kazi zao kwa weledi pamoja na kuwazingitia zaidi watahiniwa wenye mahitaji maalum.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS