"Ni kweli namchukia Alikiba" - Barakah The Prince Picha ya msanii Barakah The Prince Msanii wa BongoFleva Barakah The Prince amesema ni kweli anamchukia msanii Alikiba kwa sababu ya mambo yao 'Personal'. Read more about "Ni kweli namchukia Alikiba" - Barakah The Prince