Watahiniwa walibadilishiwa namba - Waziri Mkenda Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema kuwa baraza la Mitihani limejiridhisha kwamba watahiniwa katika shule ya Chalinze Modern Islamic walibadilishiwa namba ya mtihani. Read more about Watahiniwa walibadilishiwa namba - Waziri Mkenda