"Mbeya wakiniona wananikimbilia" - Sugu

Mwanasiasa Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu

Aliyewahi kuwa Mbunge wa jimbo la Mbeya mjini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Joseph Mbilinyi maarufu kwa jina la Sugu ametangaza nia yake ya kugombea tena ubunge wa jimbo hilo katika uchaguzi wa mwaka 2025.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS