UN kusaidiana na Afrika mabadiliko ya tabia nchi

Waziri wa katiba na sheria meshimiwa Dkt Damas Ndumbaro

Tanzania imeitaka jumuiya ya kimataifa kupitia mataifa yenye nguvu duniani kutafuta suluhu itakayosaidia kuiepusha dunia na athari za mabadiliko ya tabia ya nchi hususani katika mataifa ya africa ambayo yanaathirika kwa kiasi kikubwa na uchafuzi wa hali ya hewa duniani...

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS