Bidhaa zenye thamani ya milioni 500 zateketea
Thamani ya bidhaa zilizoteketea kwa moto kwenye ghala lililopo kwenye bandari ya Tanga linalomilikiwa na Mamlaka ya mapato Tanzania 'TRA' mkoani humo kuhifadhia bidhaa za magendo zilizokamatwa na zilizoshindwa kulipiwa ushuru imejumlishwa na kufikia zaidi ya milioni mia tano.