Matunda ya ziara ya Rais Samia Nchini Marekani.

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Ziara ya Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan nchini Marekani inatajwa kuzaa matunda Mara baada ya hii Leo ujumbe wa wawekezaji 35 kutoka Marekani kufika nchini kuja Tanzania kutazama fursa za uwekezaji Katika maeneo mbalimbali.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS