Nchi za Afrika kulitumia eneo huru la biashara

Umoja wa Afrika umetoa wito kwa nchi za Afrika kuimarisha kwa pamoja Mkataba wa Eneo la Biashara Huria la Bara la Afrika (AfCFTA) na uendelezaji wa viwanda katika bara hilo ili kutimiza matarajio muhimu ya maendeleo ya Afrika.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS