Rais Samia aruhusu wananchi Ileje kuishi hifadhini
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia wananchi wa kitongoji cha Ikanka kijiji cha Itumba wilaya ya Ileje kuendelea kuishi sehemu ya eneo la hifadhi ya msitu wa Ileje Range mkoani Songwe