Wamachinga Dar wayakimbia maeneo waliyopangiwa

Wamachinga

Viongozi wa wafanyabiashara wadogo maarufu kama wamachinga katika wilaya ya Ilala wameiomba serikali kuja na mkakati maalum ambao utasaidia kuwarudisha wafanyabiashara wadogo ambao wanadaiwa kuondoka kwenye maeneo rasmi yaliyotengwa na serikali ikiwemo soko la Machinga Complex.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS