"Jux msanii msafi kuliko wote Tanzania" - Soggy Picha ya Jux na Soggy Dogg Anter Mkongwe wa mziki wa HipHop Bongo Soggy Doggy Anter amemtaja msanii Jux kuwa ndio msanii msafi kuliko wote nchini Tanzania. Read more about "Jux msanii msafi kuliko wote Tanzania" - Soggy